TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI 24-07-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI 24-07-2025 AJIRA PORTAL

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/288/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025. Hivyo watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo:-

Tuma maombi hapa.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI 24-07-2025
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom