Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi sita (06) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa