TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA 03-09-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA 03-09-2025 AJIRA PORTAL

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma anayofuraha kuwatangazia nafasi za kazi kumi na nne (14) baada ya kupokea Kibali cha Ajira mpya kwa Mwaka 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora. Hivyo anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa ili kujaza nafasi hizo kama ifuatavyo;

Pakua PDF hapa.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA 03-09-2025
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom