Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Nyang`hwale anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi nne (04) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao.
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.