TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA 30-05-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA 30-05-2025 AJIRA PORTAL

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida amepokea kibali cha utekelezaji wa Ajira mpya katika mwaka wa fedha 2023/2024 na 2024/2025 kwa barua yenye Kumb. Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 26/04/2025 na barua yenye kumb Na. FA.97/288/01/09 ya tarehe 25/06/2024, kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo, anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi katika tangazo hili.

Tuma maombi hapa.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SINGIDA 30-05-2025
 
Back
Top Bottom