Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida amepokea kibali cha utekelezaji wa Ajira mpya katika mwaka wa fedha 2023/2024 na 2024/2025 kwa barua yenye Kumb. Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 26/04/2025 na barua yenye kumb Na. FA.97/288/01/09 ya tarehe 25/06/2024, kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo, anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi katika tangazo hili.
Tuma maombi hapa.
Tuma maombi hapa.