TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA 31-05-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA 31-05-2025 AJIRA PORTAL

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea amepokea kibali cha Ajira chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 kutoka kwa katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea anatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa Watanzania wote wenye sifa za kujaza nafasi hizo kama ifuatavyo.

Tuma maombi hapa.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA 31-05-2025
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom