TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA USHETU 30-05-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA USHETU 30-05-2025 AJIRA PORTAL

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu anawatangazia nafasi za kazi watanzania wote wenye sifa za kuajiriwa katika nafasi ya Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja II, Afisa Maendeleo ya Jamii Msaidizi Daraja II, Msaidizi wa Maktaba Daraja II na Dereva Daraja la II. Hii ni kutokana na Kibali kilichotolewa kwa barua yenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili 2025, kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Tuma maombi hapa.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA USHETU 30-05-2025
 
Back
Top Bottom