TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA TANGA 17-06-2026

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA TANGA 17-06-2026 AJIRA PORTAL

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Kwa niaba ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Tanga (TANGAUWASA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawaalika Watanzania wenye sifa stahiki, wenye uwezo wa hali ya juu, wanaolenga matokeo, wanaojituma, wenye uadilifu na weledi, kuomba kujaza nafasi tano (5) za kazi zilizo wazi kama zilivyoainishwa hapa chini.

Pakua PDF hapa
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA TANGA 17-06-2026
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom