TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs 05-06-2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs 05-06-2025 AJIRA 2326

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi MDAs NA LGAs 05-06-2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa pamoja na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, anakaribisha Maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenyesifa na uwezo wa kujaza nafasi elfu mbili mia tatu ishirini na sita (2326) kama ilivyoainishwa katika tangazo.

Tuma maombi hapa
 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs 05-06-2025
 
Last edited:
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom