TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 22-03-2026

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 22-03-2026 AJIRA PORTAL

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Kwa niaba ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Watumishi Housing Investments (WHI), Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iringa (IRUWASA), Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Njombe (NJUWASA), Kituo cha Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Baraza la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA) na Taasisi ya Mafunzo ya Serikali za Mitaa (LGTI), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha wataalamu wenye sifa za juu, wanaolenga matokeo, wanaojituma, wenye uadilifu, wenye ubunifu na Watanzania wenye sifa stahiki kujaza nafasi mia moja hamsini na nane (158) zilizo wazi kama zilivyoainishwa hapa chini;

Pakua PDF hapa.
1774215967272.webp
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom