Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Views: 3K
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kwa Watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi katika ajira mpya hizi zilizotangazwa siku ya leo tarehe 20/05/2025.