TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WALIMU MDAs NA LGAs (18-10-2025)

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WALIMU MDAs NA LGAs (18-10-2025) AJIRA PORTAL

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la nafasi za Kazi walimu MDAs NA LGAs (18-10-2025) Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 10,026 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili;

Pakua PDF hapo chini.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WALIMU MDAs NA LGAs (18-10-2025)
 

Download PDF

Back
Top Bottom