Hili hapa tangazo la Usaili Polisi Tanzania kwa watanzania wote lililotolewa siku ya leo mapema sana kwa walioitwa au kuchaguliwa kwenda kufanya interview Jeshi la Polisi Tanzania kwa walioomba kupitia mfumo wa Ajira (TANZANIA POLICE FORCE - RECRUITMENT PORTAL) kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 28/4/2025 saa 07:00 Asubuhi hadi tarehe 11/5/2025 kote nchini.
Angalia hapa majina.
drive.google.com
Angalia hapa majina.
TANGAZO LA USAILI POLISI TANZANIA - wananchiforum.com 2025.pdf

Walioitwa Kwenye Usaili Polisi Tanzania
23-04-2025
Orodha ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Tanzania Aprili 2025
23-04-2025 TANPOL