Tp Mazembe Yawafuata Mc Algiers Nchini Algeria Na Caf Yawapa Refa Kutoka Africa Kusini TotalEnergies CAFCL

Tp Mazembe Yawafuata Mc Algiers Nchini Algeria Na Caf Yawapa Refa Kutoka Africa Kusini TotalEnergies CAFCL 2024/2025

Revoo

Member

Reputation: 21%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
182
Klabu ya TP Mazembe imetuwa salama nchini Algeria 🇩🇿 kwa ajili ya mchezo wa ijumaa dhidi ya MC Algiers. FB_IMG_1736318044187.webp
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limemchagua refa Ambongile Tom kutoka Afrika kusini kuchezesha mechi baina ya MC Algiers dhidi ya TP Mazembe.FB_IMG_1736318184536.webp
Mchezo huo utapigwa majira ya saa moja kamili usiku siku ya ijumaa Tarehe 10 January 2025.
 
Back
Top Bottom