- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 194
Klabu ya TP Mazembe imetuwa salama nchini Algeria
kwa ajili ya mchezo wa ijumaa dhidi ya MC Algiers.
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limemchagua refa Ambongile Tom kutoka Afrika kusini kuchezesha mechi baina ya MC Algiers dhidi ya TP Mazembe.
Mchezo huo utapigwa majira ya saa moja kamili usiku siku ya ijumaa.