TRA: KUHUSU KUAJIRI WATUMISHI KUPITIA KANZIDATA YA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA

TRA: KUHUSU KUAJIRI WATUMISHI KUPITIA KANZIDATA YA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA 12-07-2026

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Mtakumbuka kwamba kati ya Mwezi Februari na Juni, 2025 Mamlaka ya Mapato Tanzania iliendesha zoezi la usaili ili kujaza nafasi 1,596 zilizokuwa wazi. Baada ya mchakato ule, waomba kazi waliofikia na kufaulu vizuri zaidi katika hatua ya usaili wa mahojiano waliajiriwa kujaza nafasi hizo katika kada mbalimbali. Aidha, waomba kazi wengine walifikia na kufaulu usaili wa mahojiano lakini hawakuweza kuajiriwa kutokana na uchache wa nafasi, Mamlaka iliwajulisha kuwa wamewekwa kwenye kanzidata (Database) na pale nafasi zitakapopatikana wataajiriwa kwa kuzingatia ufaulu wao.
TRA: KUHUSU KUAJIRI WATUMISHI KUPITIA KANZIDATA YA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom