- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 194
Mchezo ulianza kwa timu zote kufanya makosa yanayofanana : kila timu walipoteza mipira kirahisi “Pass” lakini Yanga quality imeamua mchezo.
Yanga na 4-2-3-1 kama kawaida yao lakini wakiwa na mali wanabadilika na kuwa 2-4-3-1 (Job na Bacca wanakuwa nyuma ya Aucho na Muda + Kibwana na Kibabage ambao walitafuta mapana ya uwanja , waliwafanya Prison kuzuia eneo kubwa la uwanja na kuacha nafasi ndani …. Nini kilifuata?
Yanga wakaanza kupata nafasi ya kupita ndani (Mudathir na Aucho space ilikuwa kubwa kwao then Aziz Ki + Farid na Mzize ambao walishambulia zile “Half Spaces” walipata nafasi nyuma ya kiungo cha Prison lakini Yanga walishinda kufanya maamuzi sahihi kWa wakati sahihi (Decison Making) wanapoteza pass kiurahisi sana.
Quality imeamua mchezo : Yanga walitumia vizuri nafasi walizotengeneza (Dube , Mzize na Bacca) walinzi wa Prison walikuwa watanzamaji , Nafikiri ingeweza kuwa zaidi ya 4-0 maana Prison walifanya makosa sehemu hatarishi.
Yanga sio kwamba walikuwa bora sana ila walijua kuimaliza game kwa kutumia nafasi ….. chance walitotengebeza walizitumia .
Yanga wanapoteza pass kirahisi sana , hakuna combination nzuri hasa wakifika kwenye mita 20 za mwisho : Aziz anahitaji nafasi kubwa kwenye mpira , Muda yupo slow sana . Dube ndio anaonesha uhai eneo la mbele
Prison ujui nini wanakifanya wapo ovyo sana!..
1 : Walipoteza pasi nyingi kwenye Zonal yao
2 : Hakukuwa na Pressing yeyote ambayo ingewafanya Yanga kukosa utulivu eneo la mwisho.
3 : Nafasi kubwa baina ya kiungo na walinzi.
NOTE :
Prince Dube Confidance imerejea
Magoli Matano kwenye michezo mitatu
Hali ya kujiamini kwa Prince Dube imerejea , alihitaji goli Moja tu!.. kurudisha magoli yaliyokuwa yamekauka mguuni kwake.
Baada ya kufunga dhidi ya Tp Mazembe sasa ni back to back !.. kwenye michezo mitatu amefunga magoli matano
Ibrahim Bacca “Four Goals
” : Goli la pili Bacca kaweka mkono kabisa.
Kibwana Shomari anazidi kuimarika
Job
Mudathir Energy yake imepungua …. Mzize.
Mshery akiwa na mali mguuni “Composure
”
FT : Yanga 4-0 Tanzania Prison.