UDAHILI WA KOZI ZA ASTASHAHADA YA MSINGI CHUO CHA MIPANGO YA MAENDELEO VIJIJINI

UDAHILI WA KOZI ZA ASTASHAHADA YA MSINGI CHUO CHA MIPANGO YA MAENDELEO VIJIJINI IRDP 2025

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Udahili wa kozi za Astashahada ya msingi Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Mkuu wa Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (Institute of Rural Development Planning) anawapongeza wanafunzi wote waliochanguliwa kujiunga katika kozi mbalimbali na kuwakaribisha wahitimu wote wa kidato cha nne wenye sifa ya kujiunga na Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

Unaweza kutuma maombi mkupuo wa SEPTEMBA moja kwa moja chuoni kwa njia ya mtandaokupitia

Pakua PDF ya maelezo jinsi ya kujiunga na kutuma maombi
UDAHILI WA KOZI ZA ASTASHAHADA YA MSINGI CHUO CHA MIPANGO YA MAENDELEO VIJIJINI
 
Last edited:
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom