UDAHILI WA WANAFUNZI KATIKA MKUPUO WA MACHI 2026/2027 NACTVET

UDAHILI WA WANAFUNZI KATIKA MKUPUO WA MACHI 2026/2027 NACTVET Vyuo 2026

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma kuwa udahili wa wanafunzi katika ngazi ya Astashahada na Stashahada kwa kozi zote, isipokuwa kozi za Afya Tanzania Bara, umeanza tarehe 10 Februari, 2026 na utakamilika tarehe 28 Februari 2026. Udahili huu unahusu vyuo vilivyosajiliwa, kuthibitishwa na kuidhinishwa na Baraza kuwa na uwezo wa kupokea wanafunzi.
UDAHILI WA WANAFUNZI KATIKA MKUPUO WA MACHI 2026/2027 NACTVET
 
Back
Top Bottom