Ufadhili wa Masomo Romania 2025

Ufadhili wa Masomo Romania 2025 Utumishi

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,230
Ufadhili wa Masomo Romania 2025 Maombi yanakaribishwa kutoka kwa Maafisa wenye sifa kutoka Utumishi wa Umma kuomba kozi za muda mrefu zinazodhaminiwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Romania kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Mwaka wa masomo sasa umefunguliwa, na waombaji wanaweza kuchagua programu wanazopendelea katika nyanja mbalimbali, isipokuwa kwa kozi za Tiba, Tiba ya Meno, na Dawa za Kichunguzi (Pharmacy).
Ufadhili wa Masomo Romania 2025.webp


Pakua PDF hapo chini.
 

Download PDF

Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom