New member
- Joined
- Apr 20, 2025
- Messages
- 1
Nauliza kuhusu kituo cha usaili kwa walioomba nafasi za Assistant vocational teacher-VETA(ELECTRICAL INSTALLATION) usaili ni tarehe 25 mwezi wa 4 tumeambiwa ni Mbeya tuliopo mbeya lakini kituo chenyewe kwa hapa mbeya hatujajua bado.