Nilijiunga ajira portal mda kidogo ,lakini nilisahau email nilio tumia pamoja na password yake na Sasa nimejalibu kujiunga Tena ,lakin imeniandikia kwamba NID yangu imetumia tayari je ni fanye nn kuweza kuendelea kulogin kwa ajira portal