Uswaulifu wa account ya ajila portal na uwezekano wa kujiunga kwa mara ya pili

Uswaulifu wa account ya ajila portal na uwezekano wa kujiunga kwa mara ya pili

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa
Nilijiunga ajira portal mda kidogo ,lakini nilisahau email nilio tumia pamoja na password yake na Sasa nimejalibu kujiunga Tena ,lakin imeniandikia kwamba NID yangu imetumia tayari je ni fanye nn kuweza kuendelea kulogin kwa ajira portal
Kumbuka email yako, inasema hivyo kwa sababu unaingiza email ambayo haipo
 
Au tembelea ofisi za utumishi zilizopo kwa Dar (Posta) na Dodoma (Asha rose migiro building)
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom