Wasailiwa wa nafasi mbalimbali katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) mnajulishwa kuwa, usaili wa vitendo na mahojiano wa tarehe 5 na 6 Disemba, 2024 utafanyika katika ukumbi wa MOI Phase III uliopo jengo jipya la MOI. Aidha, muda wa kufanya usaili utabaki kama ulivyo kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili. Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti ya www.ajira.go.tz
TAARIFA YA ENEO LA USAILI WA VITENDO NA MAHOJIANO TAASISI YA MIFUPA MUHIMBILI (MOI).
TAARIFA YA ENEO LA USAILI WA VITENDO NA MAHOJIANO TAASISI YA MIFUPA MUHIMBILI (MOI).