- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 160
Klabu ya Singida Black Stars imetangaza viingilio vya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba SC.
Mchezo huo utapigwa Leo Jumamosi tarehe 28 December 2024, kuanzia saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa CCM Liti, Mkoani Singida.
Viingilio hivo vimetajwa kuwa Kwa mzunguuko itakuwa ni Tsh 10,000, huku majukwaa mengine ya VVIP itakuwa ni Tsh 30,000 na VIP itakuwa Tsh
15,000.