Hivi hapa vituo vya usaili wa kuandika tarehe 25 Aprili 2025 kanda kutoka Ajira portal/Utumishi. Vituo hivi vya usaili vimepangwa kikanda, hivyo wasailiwa wote wanatakiwa kuzingatia vituo vya usaili kulingana na mpangilio huu. Vituo hivi ni kwa kada zinazofanya usaili tarehe 25 Aprili,2025 kama zilivyoorodheshwa.
Angalia hapa kisha tafta kanda yako ikiwa ni Arusha, mwanza, Dar Es Salaam, Mbeya, Dodoma, na zanzibar.
www.ajira.go.tz
Angalia hapa kisha tafta kanda yako ikiwa ni Arusha, mwanza, Dar Es Salaam, Mbeya, Dodoma, na zanzibar.
News Update :: Public Service Recruitment Secretariat
Public Service Recruitment Secretariat / Ofisi ya Raisi katika Utumishi wa Umma