Orodha ya Walimu, Afya, Kada Mbalimbali Walioitwa kazini Leo 04-02-2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 20-01-2024 na tarehe 17-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Bonyeza hapa ku-download PDF
Bonyeza hapa ku-download PDF
Nafasi za Kazi CIAT Februari
Ajira Mpya 2025