Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025/2026 Tanzania

TAMISEMI Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025/2026 Tanzania Form Five Selection

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hii hapa orodha kamili ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano 2025/2026 kwa waliopata matokeo yao ya kidato cha nne mwaka 2024 form five selection kuanza safari mpya ya elimu Tanzania kupitia katika mfumo wa Selfom Tamisemi yakiwa katika PDF pamoja na fomu za kujiunga na shule mbalimbali pamoja na vyuo vya kati mbalimbali.
Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025/2026 Tanzania

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI aanawatangazia wananchi wote kuwa orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano awamu ya kwanza, pili kwa mwaka 2025 imetoka. Unaweza kuangalia orodha hiyo kupitia kiunganishi cha:

Kuangalia kupitia Selform Tamisemi Bonyeza hapa

Waliochaguliwa kujiunga na kidato cha Tano 2024-2025

Fomu za kujiunga na kidato cha Tano 2025
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom