Waliochaguliwa kidato cha tano 2025-26 Selection za Vyuo

Waliochaguliwa kidato cha tano 2025-26 Selection za Vyuo Selform Tamisemi

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa
Waliochaguliwa kidato cha tano 2025 TAMISEMI itatangaza rasmi orodha ya Waliochaguliwa kujiunga form five 2025-26 pamoja na Vyuo vya Kati kwa mwaka wa masomo 2025/2026 ifikapo tarehe 30 Mei,2025. Wanafunzi na wazazi sasa wanaweza kuangalia majina ya waliochaguliwa, maarufu kama "Waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati 2025."

Tangazo hili ni hatua muhimu kwa wanafunzi wanaohamia kutoka elimu ya Sekondari ya Awali (O-Level) kwenda Sekondari ya Juu (A-Level) hapa nchini Tanzania. Hii ni ishara ya juhudi za wanafunzi pamoja na dhamira ya serikali kuendeleza ubora wa elimu.

Wanafunzi wanahimizwa kuangalia majina yao mapema na kujiandaa kwa safari mpya ya kitaaluma. Hongera kwa wote waliopata nafasi ya kuendelea na masomo yao!

Angalia hapa selection za kidato cha tano 2025.
Waliochaguliwa kidato cha tano 2025-26 Selection za Vyuo
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom