Waliochaguliwa kidato cha tano 2025

Waliochaguliwa kidato cha tano 2025 Form five

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa
Angalia hapa Waliochaguliwa kidato cha tano 2025 kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2024 na waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2025 katika shule mbalimbali nchini Tanzania na wengine kujiunga na vyuo vya kati.

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tana na Vyuo vya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mwaka 2025, ni kutoka Shule· za Serikali, zisizo za Serikali, watahiniwa wa kujitegemea waliofanya mtihani wakiwa chini ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima na waliosoma nje ya nchi ambao matokeo yao yamefanyiwa ulinganifu wa Baraza la Mtihani Tanzania (NECTA).

Angalia selection hapa.

Au hapa selform tamisemi
Waliochaguliwa kidato cha tano 2025
 
Last edited by a moderator:
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom