Hivi hapa vituo vya usaili wa kuandika kwa kanda tarehe 23 aprili 2025 kutoka utumishi/ajiraportal.
Vituo hivi vya usaili vimepangwa kikanda, hivyo wasailiwa wote wanatakiwa kuzingatia vituo vya usaili kulingana na mpangilio huu. Vituo hivi ni kwa kada zinazofanya usaili tarehe 23 Aprili,2025 kama zilivyoorodheshwa.