Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioiitwa kazini Jeshini JWTZ Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania na JKT Jeshi la Kujenga Taifa Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-05-2025 na tarehe 26-08-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Pakua PDF hapa
Pakua PDF hapa
Walioitwa Kazini JKT
18-11-2025