Orodha ya majina ya walioitwa kazini Tamisemi leo, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji wote wa kazi za mkataba katika programu ya Mpango wa Uwekezaji katika Afya ya Mama na Mtoto nchini Tanzania (Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) waliowasilisha maombi ya ajira kwanafasi mbalimbali za kada za afya katika kipindi cha mwezi wa Desemba, 2024kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi umekamilika hivyo waombajiwote waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti katika Halmashauriwalizopangiwa.
Pakua PDF hapo chini.
Pakua PDF hapo chini.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU 15-03-2025 PSRS
Ajira Portal
Attachments