Walioitwa kwenye Usaili Air Tanzania

Walioitwa kwenye Usaili Air Tanzania 04-07-2025

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Wananchi, Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa kwenye Usaili Air Tanzania Kampuni ya Ndege Tanzania kinapenda kuwataarifu wote walioomba kazi katika kada mbalimbali kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia jumamosi, tarehe 5 Julai, 2025.

Wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

(i) Usaili utafanyika Jumamosi, tarehe 5 Julai, 2025 saa moja na nusu asubuhi kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili;
(ii) Muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada;
(iii) Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
(iv) Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Taifa, Hati ya Kusafiria au Leseni ya udereva;
(v) Wasailiwa wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi, kuanzia cheti cha Kuzaliwa, Kidato cha
IV, VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji;
(vi) Wasailiwa watakaowasilisha “Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati za matokeo za Kidato cha IV na VI (Form IV and Form VI result slips)
HAZITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI
(vii) Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi;
(viii) Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili;
(ix) Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo;
(x) Wasailiwa wenye tofauti ya majina katika vyeti vya elimu, taaluma na cheti cha kuzaliwa wahakikishe wanakuwa na kiapo cha kubadilisha majina kilichosajiliwa (DEED POLL);
(xi) Wasailiwa waliozaliwa nje ya Tanzania wahakikishe wanawasilisha uthibitisho wa uraia kutoka Ofisi za Uhamiaji

Pakua PDF ya kuitwa kwenye usaili Air Tanzania.
Walioitwa kwenye Usaili Air Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom