Walioitwa kwenye usaili Kada za Ualimu Majina ya Nyongeza MDAs & LGAs

Walioitwa kwenye usaili Kada za Ualimu Majina ya Nyongeza MDAs & LGAs Ajira za Walimu 2025

Ratiba ya usaili, Orodha ya majina ya Walioitwa kwenye usaili Kada za Ualimu Majina ya Nyongeza MDAs & LGAs interview. Leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 14-01-2025 hadi 11-02-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Walioitwa kwenye usaili Kada za Ualimu Majina ya Nyongeza MDAs & LGAs

Walioitwa kwenye usaili Kada za Ualimu Majina ya Nyongeza MDAs & LGAs 2
 

Attachments

Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom