Hii hapa orodha ya majina Walioitwa Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Rombo Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kiksomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Rombo anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 4.10.2025 na Tarehe 5.10.2025 katika Shule ya Sekondari Kelamfua kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Pakua PDF hapo chini.
Pakua PDF hapo chini.
Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura 2025
UCHAGUAZI MKUU 2025
Download PDF