- Views: 3K
- Replies: 1
Hii hapa orodha ya majina Walioitwa Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Wilaya ya Itigi Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Itigi anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili tarehe 03/10/2025 siku ya Ijumaa katika vituo vifuatavyo: Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi iliyopo katika Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, Ofisi ya Kata Mitundu, Ofisi ya Kata Mwamagembe, Ofisi ya Kijiji Kintanula na Ofisi ya Kata Rungwa. Muda wa usaili ni kuanzia saa 01:30 asubuhi.
Majina ya Watendaji wa Vituo (Wasimamizi wa Vituo, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura na Makarani waongozaji wapiga kura) walioitwa kwenye usaili.
Majina ya Watendaji wa Vituo (Wasimamizi wa Vituo, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura na Makarani waongozaji wapiga kura) walioitwa kwenye usaili.