- Views: 1K
- Replies: 2
Hii hapa orodha ya majina Walioitwa Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Wilaya ya Mwanga Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mwanga anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili tarehe 04/10/2025 siku ya Ijumaa katika vituo vifuatavyo: Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi iliyopo katika Shule ya msingi Mwanga. Muda wa usaili ni kuanzia saa 01:30 asubuhi.
Pakua PDF hapo chini.
Pakua PDF hapo chini.
Zingatia tarehe ya usaili, pia unaweza changia mawazo yako hapa chini.
Walioitwa Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Manispaa ya Bukoba
UCHAGUAZI MKUU 2025
Walioitwa Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Jimbo la Lindi Mjini
UCHAGUAZI MKUU 2025
Download PDF