Walioitwa kwenye Usaili Liwale

Walioitwa kwenye Usaili Liwale 21-05-2026

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la majina ya walioitwa kwenye usaili Naomba Kumb.Na.BA.150/206/01/93 la tarehe 20/04/2026 pamoja na tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili lenye Kumb. Na.HA.263/300/01/05 la tarehe 15/05/2026, Halmashauri ya Wilaya ya Liwale imefanya nyongeza ya majina ya waombaji waliofanikiwa kuitwa kwenye usaili. Hivyo, waombaji wote waliopo kwenye orodha hii wanatakiwa kufika kwenye usaili utakaofanyika tarehe 25 - 26.05.2026.

Pakua PDF hapo chini.
Walioitwa kwenye Usaili Liwale
 

Download PDF

Similar content Most view View more
Back
Top Bottom