Haya hapa orodha ya majina ya Walioitwa kwenye Usaili MORUWASA Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) anapenda kuwataarifu Waombaji kazi wote walicomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia 18/05/2026 hadi 20/05/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo :-
Pakua PDF hapo chini,
Pakua PDF hapo chini,
Download PDF