Walioitwa kwenye usaili NECTA, IAA, VETA, TBC, TBS, LGTI, TALIRI, TEMESA, NBS, MNH, WMA, NEMC, MDAs & LGAs, TPSC, TICD

Walioitwa kwenye usaili NECTA, IAA, VETA, TBC, TBS, LGTI, TALIRI, TEMESA, NBS, MNH, WMA, NEMC, MDAs & LGAs, TPSC, TICD Ajira Portal/Utumish

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Walioitwa kwenye usaili NECTA, IAA, VETA, TBC, TBS, LGTI, TALIRI, TEMESA, NBS, MNH, WMA, NEMC, MDAs & LGAs, TPSC, TICD Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 24-04-2025 hadi 08-05-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

Pia, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA),Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA), Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi(VETA), Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Taasisi ya Utafiti wa MifugoTanzania (TALIRI), Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS), Wizara ya Maji, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Wakala wa Vipimo (WMA), Baraza la Taifala Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira(NEMC), MDAs & LGAs, Chuo cha Utumishi wa UmmaTanzania (TPSC), Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) anapenda kuwataarifu Waombaji Kaziwote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 23-04-2025 hadi18-05-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwawanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

Taasisi mbalimbali PDF

Usaili NECTA
Walioitwa kwenye usaili NECTA, IAA, VETA, TBC, TBS, LGTI, TALIRI, TEMESA, NBS, MNH, WMA, NEMC, MDAs & LGAs, TPSC, TICD
 
Hello Mwananchi forum haya ni majina mapya au ndo wameita upya maana majina mfano ya Veta yalishatoka pia naomba maswali ya Tutor II Tour Guiding
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom