Walioitwa kwenye usaili Polisi 2025 PDF

Walioitwa kwenye usaili Polisi 2025 PDF 23-04-2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo zima la orodha ya majina ya Walioitwa kwenye usaili Polisi 2025 PDF leo alipotangaza Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anawatangazia vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira (TANZANIA POLICE FORCE - RECRUITMENT PORTAL) kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 28/4/2025 saa 07:00 Asubuhi hadi tarehe 11/5/2025 kote nchini.

Kila msailiwa atalazimika kufika eneo la usaili akiwa na vyeti halisi vya taaluma (Academic certificates), cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha Taifa cha NIDA au namba ya NIDA pamoja na nguo na viatu vya michezo. Msailiwa atakayefika kwenye usaili baada ya tarehe 28/04/2025 hatapokelewa. Aidha, orodha ya waliochaguliwa kufanya usaili imeambatishwa pamoja na tangazo hili.

Angalia hapa majina yote.

Au pitia katika tovuti ya Ajira Polisi.
Walioitwa kwenye usaili Polisi 2025 PDF
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom