Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Shirika la Ndege (ATCL) Tanzania Nyongeza Kampuni ya Ndege Tanzania kinapenda kuwataarifu wote walioomba kazi katika kada mbalimbali kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 5 Julai, 2025 hadi tarehe 10 Julai, 2025.
Wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Walioitwa kwenye Interview ATCL Tanzania
04-07-2025
Walioitwa kwenye Usaili Air Tanzania
04-07-2025