Walioitwa kwenye Usaili Shirika la Ndege Tanzania

Walioitwa kwenye Usaili Shirika la Ndege Tanzania 04-07-2025

Haya hapa majina ya walioitwa kwenye usaili ATCL Kampuni ya Ndege Tanzania kinapenda kuwataarifu wote walioomba kazi katika kada mbalimbali kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 5 Julai, 2025 hadi tarehe 10 Julai, 2025.

Wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Walioitwa kwenye Usaili Shirika la Ndege Tanzania
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom