Walioitwa kwenye Usaili TANROADS Songwe

Walioitwa kwenye Usaili TANROADS Songwe 30-05-2025

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Haya hapa majina ya walioitwa kwenye usaili Meneja wa TANROADS Mkoa wa Songwe, kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa TANROADS, anawaalika waombaji waliochaguliwa kufika kwenye usaili wa awali (aptitude test) kwa nafasi za ajira zilizotangazwa tarehe 10 Januari 2025.

Usaili huu ni kwa ajili ya mradi wa kuboresha barabara ya Isongole II – Kasumulu – Ipyana - Katumba (km 114.3) mkoani Songwe, ikiwa ni pamoja na kipande cha barabara ya Ndembo - Isoko (km 5.914) na Muungano - Ipyana (km 0.658) kwa kiwango cha lami.

Kazi hii ni sehemu ya Lot 1: Kipande cha Isongole II - Ndembo (km 46.5) pamoja na barabara ya Ndembo - Isoko (km 5.914).

Pakua PDF hapa.
Walioitwa kwenye Usaili TANROADS Songwe
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom