Walioitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama

Walioitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama 11-12-2025

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Haya hapa majina ya walioitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama Kufuatia tangazo la nafasi za ajira mpya zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama tarehe 17 Novemba, 2025, napenda kuwafahamisha waombaji wa nafasi za kazi kwa kada mbalimbali kuwa, baada ya uchambuzi wa kina waombaji waliochaguliwa kuingia kwenye usaili wa hatua ya kwanza watasailiwa kwa nafasi hizo kwa tarehe, muda na vituo vilivyooneshwa kwenye orodha ya majina ya wasailiwa iliyoambatishwa na Tangazo hili. Inasisitizwa kwamba, kila msailiwa atafanya usaili kwenye kituo alichopangiwa na si vinginevyo.

Pakua PDF hapa.
Walioitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama
 
Last edited by a moderator:
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom