Walioitwa kwenye Usaili wa Zimamoto Kidato cha Nne 2025

Walioitwa kwenye Usaili wa Zimamoto Kidato cha Nne 2025 12-12-2025

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hii hapa orodha kamili ya Kidato cha Nne Walioitwa kwenye Usaili wa Zimamoto 2025

Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa/kuitwa kwenye usaili Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anapenda kuwatangazia kuwa vijana waliomba ajira ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kupitia mfumo wa ajira ZIMAMOTO RECRUITMENT (ajira.zimamoto.go.tz), Usaili utafanyika kuanzia tarehe 15 Disemba, 2025 hadi tarehe 20 Disemba, 2025 2025 kuanzia saa 1:00 Asubuhi kwa kila kundi.

Waombaji waliomba ajira kwa elimu ya kidato cha nne usaili wao utafanyika kuanzia tarehe 15 Disemba, 2025 saa 1:00 Asubuhi kwenye mikoa walioichagua wakati wa kutuma maombi.

Angalia hapa
Kuitwa kwenye usaili Zimamoto Disemba 2025.webp


Bonyeza hapo chini kupakua PDF
 
Last edited by a moderator:
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom