Yahya Zayd Mchezaji Wa Azam Fc Afichua Sababu Za Kushindwa Ismailia Nchini Misri

Yahya Zayd Mchezaji Wa Azam Fc Afichua Sababu Za Kushindwa Ismailia Nchini Misri

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
192
Mchezaji wa muda mrefu wa Azam FC Yahya Zayd amefichua sababu zilizopelekea kurejea nyumbani baada ya kupata fursa ya kucheza kwenye klabu ya Ismailia ya Misri lakini hakufanikiwa kudumu kwa muda mrefu kwenye klabu hiyo.
FB_IMG_1736488461785.webp

Zayd amesema, wengi wanadhani ni sababu za ndani ya uwanja pekee ndio hupelekea wachezaji kushindwa kudumu nje ya nchi lakini kuna sababu za kimazingira, tamaduni, kijamii n.k ambazo wachezaji hukutana nazo wakiwa mataifa mengine na kushindwa kuhimili na kuamua kurejea nyumbani.
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom