- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 182
Klabu ya soka ya Yanga inatalajia kusafiri na kuelekea nchini Mauritania siku ya Alhamisi kwa ajili ya mchezo wa mzunguko wa tano dhidi ya Al Hilal.
Taarifa iliyotolewa na Afisa habari wa klabu hiyo leo mapema bwana Ali Kamwe alieleza kwamba bado Yanga inayo nafasi kubwa ya kusonga mbele licha ya kuanza vibaya mechi zao za awali.
"Tunaenda kumfunga pale pale kwao, kisha tunarudi kumalizana na Muarubu kwa Mkapa Yanga inafuzu hatua ya robo fainali".-Alisisitiza Ali Kamwe
●Mchezo wa Al Hilal na Yanga SC utapigwa majira ya saa nne usiku siku ya Jumapili.